Arsenal washauriwa kuandamana kwa taarifa
Msemaji wa Polisi nchini Uganda, Fred Enanga, amewashauri mashabiki wa timu ya Arsenal waliokuwa wamekamatwa baada ya kuandamana kwa gwaride la kushangilia timu yao kwamba ikitokea timu yao imepata ushindi tena dhidi ya Man United watoe taarifa mapema kwa jeshi hilo ili wasisumbuliwe.