Wakuu wote wa wilaya kwenye jiji la Dar wahamishwa Waliokuwa wakuu wa wilaya ndani ya jiji la Dar es Salaam Wakuu wote wa wilaya tano za mkoa wa Dar es Salaam, wamehamishwa na kupelekwa kwenye wilaya za mikoa mingine nchini Tanzania. Read more about Wakuu wote wa wilaya kwenye jiji la Dar wahamishwa