Bilioni 63 kukarabati uwanja wa ndege Iringa
Gharama za ukarabatati wa uwanja wa ndege Iringa zimeongezeka kutoka bilioni 41 hadi kufikia bilioni 63 ambapo Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya amesema licha ya ongezeko hilo serikali itahakikisha uwanja huo unakamilika kwa muda uliopangwa ili kuwezesha ukuaji wa uchumi