Wananchi Nanyumbu wapewa eneo na serikali

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana,

Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii  imepanga kutoa hekari 2500 ya Hifadhi ya Msitu wa Ndechela ulioko wilayani Nanyumbu ili zitumike na wanakijiji wa Mkopi kwa shughuli mbalimbali za kijamii.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS