Tanzania yaunga mkono mkakati wa IMF
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa Tanzania inaunga mkono mpango ulioanzishwa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) la kuingiza masuala ya kijinsia kwenye utekelezaji wa mipango yake ya maendeleo