Wananchi Sengerema kupata mradi wa maji
Zaidi ya wakazi 480000 wa kata tatu za Katwe, Bupandwa na Bangwe zilizopo katika halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza wanatarajiwa kuondokana na changamoto ya kuliwa na mamba pamoja na adha ya kutembea umbali wa zaidi ya kilometa 15 kutafuta maji