Wanamgambo walinda mitaa ya Venezuela

Makundi ya wanamgambo wenye silaha yamesambazwa katika mitaa ya Caracas ili kudumisha utulivu. Angalau watu wawili tayari wamekamatwa kwa kusherehekea kutekwa nyara kwa Nicolas Maduro.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS