Korosho zilizobanguliwa zapata soko Uholanzi
Jumla ya tani zipatazo 26 za korosho zilizobanguliwa, pamoja na tani moja ya nyama ya mabibo, zinatarajiwa kusafirishwa kwenda nchini Uholanzi na Ujerumani, baada ya kupatikana kwa soko la uhakika katika nchi hizo.