Ng'ombe 309 kutaifishwa Kagera
Katibu tawala wa Mkoa wa Kagera Toba Nguvila amemtaka kaimu Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Kemilembe Lwota pamoja na kamati yake ya ulinzi na usalama, kuchukua hatua kali ikiwamo kutaifishwa kwa ng'ombe 309 waliokamatwa katika hifadhi ya Luiga iliyoko katika wilaya hiyo, kinyume cha sheria