Wanaume wanaopigwa na wake zao watakiwa kusema Wanaume Wilayani Mbulu mkoani Manyara wametakiwa kufunguka na kutumia dawati la Jinsia na Watoto kutoa taarifa pale wanapofanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwemo kupigwa na wake zao Read more about Wanaume wanaopigwa na wake zao watakiwa kusema