Michezo ya mapigano yapamba moto Wachezaji 40 wa sanaa za mapigano wanatarajia kushiriki Ligi ya Fay herous ambayo itaanza Februari 25 mwaka huu kwenye fukwe ya Azura Dar Es Salaam. Read more about Michezo ya mapigano yapamba moto