Faida ya ziara ya Rais Samia Marekani yatajwa
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amesema Tanzania imepata shilingi bilioni 11.5 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha umahiri wa Saratani ikiwa ni mafanikio ya ziara ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini Marekani