Kajala amtoa machozi Paulah, amnunulia ndinga mpya Picha ya Kajala na Paulah Staa wa filamu nchini Kajala Masanja amemfanyia surprise binti yake Paulah kwa kumnunulia gari mpya aina ya Crown jambo lililomfanya mwanaye huyo kutokwa machozi ya furaha. Read more about Kajala amtoa machozi Paulah, amnunulia ndinga mpya