Magu yavuka lengo ujenzi vyumba vya madarasa
Serikali wilayani Magu mkoani Mwanza imevuka lengo la ujenzi wa vyumba vya madarasa ambapo mahitaji ya vyumba hivyo kwa kidato cha kwanza yalikuwa 271 lakini hadi sasa wamejenga vyumba 278 huku wakiwa na ziada ya vyumba saba