Serikali yamega eneo la ranchi na kuwapa wananchi
Serikali imemega baadhi ya maeneo ya ranchi ya Kagoma yenye ukubwa wa hekta 50,690 na kuyarasimisha kwa wananchi wa Kata ya Rutoro wilayani Muleba mkoani Kagera ili yatumike kwa ajili ya shughuli za makazi, kilimo na ufugaji.