Diamond afunguka elimu aliyopewa na TRA Picha ya Diamond na alama ya TRA Staa wa mziki nchini Diamond Platnumz ameweka wazi elimu aliyopewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) baada ya kuhudhuria Makao Makuu ya TRA siku ya jana Januari 4. Read more about Diamond afunguka elimu aliyopewa na TRA