"Maji yamepungua ndiyo maana kuna mgao" - Dkt Jafo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo, amezindua josho la kuogeshea mifugo katika Kijiji cha Irkujit wilayani Simanjiro mkoani Manyara ambalo limejengwa kupitia mradi wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi kwa kutumia mifumo Ikolojia Vijijini (EBARR).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS