Rekodi kuelekea mchezo, Argentina dhidi ya Croatia

Baadhi ya mastaa wa Argentina na Croatia

Nahodha wa timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi iwapo atacheza mchezo wa leo wa Nusu Fainali Kombe la Dunia dhidi ya Croatia atafikisha mchezo wake wa 25 kwenye michuano ya Kombe la Dunia na kuifikia rekodi ya gwiji wa zamani wa Ujerumani, Lothar Matthaus.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS