NEC yasema hakuna uandikishaji mpya BVR uhakiki

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Ramadhani Kailima Kombwey .

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewataka watanzania kufahamu kuwa hakuna zoezi la uandikishaji majina upya litakaloendelea wakati zoezi la ukahikiki wa Daftari hilo na kueleza kuwa lengo ni kuhakiki taarifa za mpiga kama ziko sahihi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS