Watanzania tuamke, Tuukate umaskini. Watanzania waliofikia umri kuanzia miaka 18 nakuendelea watambue wajibu wao wakupiga kura kwasababu ni haki yao na kura yao ndio itakayo tuletea mabadiliko . Read more about Watanzania tuamke, Tuukate umaskini.