CUF inabaki UKAWA licha ya Lipumba kujiuzulu
Baada ya Prof Ibrahimu Lipumba kujivua Uenyekiti wa CUF, Chama cha CUF kimesema kuwa kitaendelea kubaki UKAWA na kuulinda umoja huo. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Kaimu Mkurugenzi wa habari, uenezi na mawasiliano kwa umma Ismail Jussa