MBEYA: Mama amuua mtoto wake Mbeya Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya, linamshikilia Joyce Matingo (26), mkazi wa Unyamwanga wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya kwa tuhuma za kumuua mtoto wake aitwaye Emily Matingo(9) kwa kumpiga sehemu mbalimbali za mwili wake. Read more about MBEYA: Mama amuua mtoto wake