Wananchi wafanikiwa kuua fisi nane Mwanza

Siku chache baada ya #EATV kuripoti Habari ya mtoto Emmanuel Nyangela kufariki dunia baada ya kuliwa na fisi, wakazi wa kijiji cha Mwangika kata ya Mwabomba wilayani Kwimba mkoani Mwanza kwa kushirikiana na kundi maalum la kuuwa fisi wamefanikiwa kuwauwa fisi nane

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS