Mapigano mapya yaibuka Sudani Kusini Takriban watu 40,000 wameyakimbia makazi yao kufuatia mapigano mapya katika jimbo lenye utajiri mkubwa wa mafuta la Upper Nile nchini Sudan Kusini, shirika la Umoja wa Mataifa limesema. Read more about Mapigano mapya yaibuka Sudani Kusini