CHADEMA waomba TANESCO iangaliwe upya Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Mara, Lucas Ngoto Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mara, kimeiomba serikali kuangalia upya mifumo ya uendeshaji wa Shirika la Umeme (TANESCO) ili kudhibiti tatizo la umeme kukatika mara kwa mara. Read more about CHADEMA waomba TANESCO iangaliwe upya