Majambazi waliovamia Goba wakamatwa
Jeshi la Polisi Kanda Maaalum ya Dar es Salaam, linawashilikilia watuhumiwa wawili wa uhalifu wa kutumia silaha kati ya watuhumiwa wanne ambao wanatuhumiwa kufanya matukio ya unyang'anyi kwa kutumia silaha Kariakoo, Goba, Kawe na Kunduchi.