Matumizi ya Baby Madaha kwa siku Tsh Laki Tano Picha ya Baby Madaha na mume wake Mume wa msanii wa filamu na mziki Baby Madaha Joe Kilumile amesema kabla hawajaona alikua anatumia Tsh Laki Tano kila anapokutana na Baby Madaha kwa muda wa miaka minne. Read more about Matumizi ya Baby Madaha kwa siku Tsh Laki Tano