Walioiba gari Arusha wakamatwa
Jeshi la Polisi mkoani Arusha linawashikilia watuhumiwa wanne kwa kosa la kuiba gari moja aina ya Toyota Hilux lenye namba za usajili IT 3CD50343065 ambapo liliwekewa namba bandia za usajili wa Nchi jirani KDA 222H kwa lengo la kuuzwa jijini Arusha