Makata kocha mpya Ruvu Shooting
Klabu ya Ruvu Shooting imemtangaza Mbwana Makata kuwa Kocha wake Mkuu mpya kwa kandarasi ya mwaka mmoja kuziba nafasi ya Kocha Charles Boniface Mkwasa aliyejiuzulu hivi karibuni baada ya timu kuwa matokeo yasiyoridhisha.