Mfanyabiashara akutwa amefia ndani ya gari lake

Gari ambalo limekutwa na mwili wa mfanyabishara Muksini

Mwili wa mtu mmoja ajulikanaye kwa jina la Muksini, ambaye ni mfanyabiashara wa bucha umekutwa kwenye gari yake katika eneo la Uwanja wa Fisi Maduka 9 jijini Mwanza, akiwa amefariki huku ikisadikika kunyongwa na kamba ambayo ilikutwa ndani ya gari hiyo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS