Simba wamaliza mzunguko wa kwanza kibabe Mchezo wa dhidi ya Coastal Union uliopigwa Desemba 2, katika Uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga tulioibuka na ushindi wa mabao 3-0 ulikuwa wa 15 ambao umekamilisha mzunguko wa kwanza wa ligi. Read more about Simba wamaliza mzunguko wa kwanza kibabe