Zumaridi hana kesi ya kujibu - Mahakama
Kesi namba 12 ya mwaka 2022 inayomkabili Diana Bundala maarufu kama Zumaridi na wafuasi wake 84 ya kufanya mkusanyiko usio halali leo hii mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Mwanza imesema Zumaridi na wafuasi wake 80 hawana kesi ya kujibu huku wafuasi watatu wakikutwa na kesi ya kujibu