Waathirika tope la mgodini wadai fidia
Wakazi wa kata ya Mwaduilohumbo Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu ambao nyumba zao na mashamba yalifunikwa na tope, baada ya bwawa la maji machafu katika mgodi wa Williamson Diamond kupasuka na kusambaa kwenye makazi ya watu, wameiomba serikali kuharakisha tathimini ili walipwe fidia.