Waliomuua mpinga ujangili, wahukumiwa kunyongwa
Watuhumiwa 11 wa kesi ya mauaji ya mwanaharakati mpinga ujangili wa Tembo, Wayne Lotter aliyeuawa Masaki jijini Dar es Salaam siku ya Agosti 16, 2017, wamehukumiwa kunyongwa baada ya Mahakama kuwakuta na hatia.