Shule yaweka rekodi ya kutofelisha kwa miaka 10

Shule ya msingi Laalakir iliyopo kijiji cha Partimbo kata ya Partimbo wilayani Kiteto mkoani Manyara, imekuwa na matokeo ya alama "A" kwa miaka 10 mfululizo na kushika nafasi ya kwanza kiwilaya na kimkoa na haijawahi kufelisha mwanafunzi

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS