Polisi TZ yamrejesha Zahera Ligi kuu Aliyewahi kuwa kocha wa zamani wa Yanga, Mwinyi Zahera raia wa Congo DR amejiunga na klabu ya Polisi Tanzania ya mkoani Kilimanjaro kuwa kocha mkuu baada ya kufikia makubaliano na uongozi wa timu hiyo. Read more about Polisi TZ yamrejesha Zahera Ligi kuu