Wanaoambukiza vijana VVU makusudi waonywa
Jamii ya watu wanaojitambua kuishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI wilaya ya Tabora wametakiwa kuacha kutumia vishawishi ikiwemo kuwadanganyia fedha vijana wadogo na hatimaye kuwapa maambukizi kwa makusudi.