Maporomoko ya ardhi yaua wawili Brazili Maporomoko ya ardhi kwenye barabara ya magari kusini mwa Brazil yamesababisha vifo vya watu wasiopungua wawili na kusababisha watu kadhaa kutoweka. Read more about Maporomoko ya ardhi yaua wawili Brazili