Mkurugenzi Mtendaji Vodacom atembelea EATV

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Philip Basiimire amefurahishwa na namna ambavyo vipindi vinaendeshwa kupitia East Africa Tv na East Africa Radio huku akipongeza uwekezaji mkubwa uliofanyika katika urushaji wa matangazo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS