Hamisa awajia juu wanaomdiss mtoto wake na Diamond

Picha ya Hamisa Mobetto, mtoto wao na Diamond Platnumz

Staa wa filamu na mziki Bongo Hamisa Mobetto amewajia juu baadhi ya watu mitandaoni wanaomdiss mtoto wake Dylan aliyempata na Diamond Platnumz wakizusha taarifa kuwa mtoto huyo ni wa Billnass. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS