Machinga wabomolewa meza zao Kariakoo
Zoezi la kubomoa vibanda na meza za wamachinga katika eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, limeanza kufanyika asubuhi ya leo Desemba Mosi, 2022, ambapo meza nyingi zimeonekana zikibomolewa na bidhaa zao kuchukuliwa.