Mama na watoto wake wawili wafariki kwa moto
Mama na watoto wake wawili katika Mtaa wa Igomelo Kata ya Malunga Halmashauri ya Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga wamepoteza maisha baada ya nyumba waliyokuwa wanaishi kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo majira ya saa 11 alfajiri.