"Nataka Mwanaume wa peke yangu" - Amber Lulu Picha ya msanii Amber Lulu akifanyiwa mahojiano na waandishi wa habari Msanii Amber Lulu amenyoosha maelezo chanzo cha kumficha mpenzi wake mpya ni kuhofia kushea na watu kwa sababu anapenda kuwa na mwanaume wa peke yake na ana wivu sana. Read more about "Nataka Mwanaume wa peke yangu" - Amber Lulu