Waziri Mkuu atoa maagizo kuhusu punda
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Mifugo ya Uvuvi nchini kuweka juhudi za ziada kwenye uzalishaji wa punda nchini, katika kipindi hiki ambacho wanyama hao wapo hatarini kutoweka Afrika kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya nyama yake nchini China.