Wanaomiliki silaha Mbeya kupewa mafunzo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ameliagiza Jeshi la Polisi kutoa mafunzo kwa wamiliki wa silaha ili kupunguza wimbi la watu wanaojichukulia sheria mkononi na kugharimu maisha yao na watu wengine Read more about Wanaomiliki silaha Mbeya kupewa mafunzo