Wakimbizi Kigoma wagoma kurudi kwao Burundi

Wakimbizi

Asilimia 95 ya wakimbizi na waomba hifadhi wa nchi ya  Burundi wanohifadhiwa katika kambi ya wakimbizi Nyarugusu Kasulu mkoani Kigoma, wamegoma kurejea nchini mwao kwa kile wanachodai bado hali ya amani hairidhishi na kuomba serikali ya Burundi kuwahakikishia amani ili waungane na wenzao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS