Ushuru wa bidhaa za Tanzania kuondolewa Uingereza
Mwanzoni mwa Mwaka 2023 serikali ya Uingereza imetangaza ku-wa na mpango maalum kwa kuondoa ushuru kwenye bidhaa zinazotoka Tanzania ili kuongeza ushindani kwa masoko ya bidhaa hizo nchini Uingereza.