Afisa manunuzi Mtwara vijijini asimamishwa kazi
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasim Majaliwa amemsimamisha kazi afisa manunuzi wa halmashauri ya Mtwara vijijini Fred Mandari ambae awali alikua afisa manunuzi halmashauri ya wilaya ya Kisarawe kwa kushindwa kupeleka benki kiasi cha fedha shilingi milioni 200