"Mimi ndio mfalme wa Chorus Bongo" - Becka Title Picha ya msanii Becka Title Msanii wa BongoFleva Becka Title amesema wapo wakali wengi wanaofanya Chorus ndani nyimbo lakini yeye ndio mfalme wao kwenye mziki wa Bongo kwa sababu anapiga chorus kali. Read more about "Mimi ndio mfalme wa Chorus Bongo" - Becka Title