Miili ya mama na wanaye yaagwa, ndugu wazimia
Miili ya mama na watoto wake wawili waliofariki kwa ajali ya gari wakitoka kwenye mahafali ya kidato cha nne ya mmoja wa marehemu, imeagwa leo jijini Dar es Salaam katika kanisa la KKKT Usharika wa Tabata.